Mkutano wa Uswahili
Kaulimbiu:
Kuendeleza Umoja, Amani,Maendeleo na Fahari ya Utamaduni wa Lugha ya Kiswahili

Dhamira Yetu:
– Kuimarisha umoja na amani kwa kukuza utawala bora kupitia Lugha ya Kiswahili.
– Kusherehekea na kuhifadhi lugha na utamaduni wa Kiswahili.

Malengo Yetu:
– Lugha ya Kiswahili iwe njia mojawapo ya kuunganisha Afrika, kuleta amani, maendeleo, mawasiliano, na elimu.
– Kutambulika na kuenea kwa lugha ya Kiswahili.
– Kukuza maendeleo ya kitamaduni na uendelevu.

Jiunge nasi katika kukumbatia na kusherehekea utamaduni wa Kiswahili!

Tarehe:
09 Agosti 2024
Mahali:
Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology
Wasiliana Nasi:
– Barua pepe: info@uswahili.org
– Tovuti: www.uswahili.org
– Piga simu: +254719456782

Uswahili: Lugha moja, Amani, maendeleo, Utawala bora na Fahari ya Utamaduni

Kuendeleza Umoja na Amani, maendeleo kupitia Utawala Bora na Kusherehekea Lugha na Utamaduni wa Kiswahili.

Scroll to Top